Wimbo
wa Sauti Sol waliomshirikisha Alikiba haupo kwenye album yao ‘Live and
Die in Afrika’ lakini huenda video yake ikatoka mapema.
Kiba ameshare kipande kifupi cha video kikiwaonesha wakiwa kwenye chumba kinachoonekana kama sehemu ya kufanyia video.
“It’s Coming @sautisol #KujuaKaziRahaSana #KingKiba,” ameandika.
0 comments:
Post a Comment