Mkuu wa mkoa kulimanjaro ameshiriki kufanya usafi soko la memorial, hospitali Mawenzi na soko la marangu.
Amewapongeza wananchi kujitokeza kwa wingi na anewataka kuwa usafi uwe ni utamaduni uanzie katika kaya, mtaa, kitongoji na katika taasisiAmeagiza halmashauri zote kuhakikisha masoko yote ni safi na takataka zinazolewa kwa wakati, mitaro yote iwe safi na iliyoziba izibuliweAmeagiza kila Jumamosi ya mwanzo wa mwezi ni usafi wa pamoja katika mkoa wa Kulimanjaro


0 comments:
Post a Comment