Thursday, January 21, 2016

Emwazi anatambuliwa zaidi kwa jina la Jihadi John, ndiye aliyekuwa akitumiwa zaidi kwenye video ambazo zilikuwa zikioneshwa na kundi hilo wakati
wa kutekeleza mauaji ya raia wa mataifa ya magharibi walilokuwa wakikamatwa na kundi hilo. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment