Saturday, January 9, 2016

 File:Donald Trump by Gage Skidmore.jpg

MUDA mfupi baada ya mwanamume mmoja kuuawa na polisi siku ya maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa mashambulio ya Charlie Hebdo nchini Ufaransa, Donald Trump alikuwa anavuma mtandao wa Twitter.
Hii ni kutokana na ujumbe aliouandika kuhusu mashambulio hayo.

Kwenye ujumbe huo, Trump, anayeongoza miongoni mwa wanaotaka kuwania urais Marekani kupitia chama cha Republican, alizungumzia mji wa Paris na nchi ya Ujerumani.

 

0 comments:

Post a Comment