Saturday, February 13, 2016


kid-ink-baby
Kid Ink amekuwa baba baada ya mchumba wake Asiah Azante kujifungua mtoto wa kike Aislin Parvaneh Collins.

Aka ya mtoto wa Kid Ink aliyopewa ni “Ace,” na amezaliwa Jumatano ya Feb. 10 kwa mujibu wa mama yake.
Kid Ink na mpenzi wake wamejuana kwa zaidi ya miaka kumi na Kid Ink alimvalisha pete ya uchumba mwaka jana.
kid ink

0 comments:

Post a Comment