Posted by Williammalecela.com on Friday, August 05, 2016
Anaitwa Leyla Rashid mke wa Mzee Yusuf.
Mamaa lujaina mtoto wa Pwani alofundwa.
Pia ni mwimbaji wa bendi ya mme wake ya Jahazi Modern Taarab.
Anatamba na nyimbo yake iitwayo NINA MOYO SIO JIWE.
0 comments:
Post a Comment