Kama ilivyokawaida kwenye kipindi hicho, watu huuliza maswali kupitia
mtandao wa Twitter na maswali hayo hujibiwa na Mgeni husika wa siku.
Jana moja ya maswali aliyoulizwa ni wasanii gani wa Hip Hop anao wakubali Duniani, nae bila hata kusita aliweka wazi kwa kuwataja mmoja mmoja kwa mtiririko.
Na wasanii aliowataja ni Fid Q ambae alichukuwa nafasi ya kwanza kutoka kwa mrembo huyo na wa Pili ni Marehemu Ngwair wa tatu ni Darassa, Kanye West pamoja na Jay Z. Hao ndio walifunga orodha yake ya wasanii anaowakubali hapa Duniani.
- Fid Q
0 comments:
Post a Comment