Akataa uamuzi wa jiji wa kulifanya eneo hilo kuwa eneo la kuegesha magari
- Asema kuwapa eneo Hilo WAFANYABIASHARA kwa Mipango YA muda mfupi ina tija kuliko uegeshaji magari
- Akataa pia kisingizio cha kutafuta mkopo ili kujenga soko la kisasa amesema jiji kwa sasa halikopesheki kuendelea kusubiri mikopo ni janja YA kuwakataaa wafanyabiashara WAHANGA ambao ndiyo waliunguliwa na soko

- Amewaagiza uongozi wa jiji na Mkuu wa wilaya kuanza utekelezaji
-- Ameutaka uongozi wa jiji na wafanyabiashara hao zaidi YA 1000 kuwa na makubaliano YA kisheria endapo jiji wanataka kuliendeleza eneo Hilo hapo baadaye makubaliano yaonyeshe muda wa notisi, aina YA maendelezo yanayotakiwa kufanyika sasa, ramani YA mpangilio wa vibanda nk 

- wananchi wamepokea uamuzi wa Mkuu wa Mkoa kwa furaha



0 comments:
Post a Comment