Monday, February 13, 2017

Image may contain: 1 person, standing
"Mtu anakuja kuripoti watu wanaanza kupiga deki na kusafisha gari mnasafisha magari? kamata weka ndani na hata ikiwezeka weka na gari lokapu, mtu anakuja na kwaya kuwaimbia mapambio siku nyingine kamata weka ndani wakaimbie mapambio lokapu, kamanda siro mbona hawaendi kuimba mapambio lugalo nataka majeshi yote yafanane, kazi kwenu wenye dharau" - Rais Magufuli Jana

0 comments:

Post a Comment