Lahm mwenye umri wa miaka 33, aliiongoza Ujerumani kama
nahodha katika fainali za kombe la dunia za mwaka 2014 zilizofaznyika nchini Brazil na
kukamilika kwa Ujerumani kubeba taji la Dunia.
Akitangaza nia yake ya kustaafu kuchgeza soka, Lahm amesema licha ya
kuweka hadharani mpango wake huo atahakikisha anatekeleza vyema majukumu yake
yote awapo uwanjani.
Kwa upande wa timu ya taifa alitangaza kutundika
kustaafu mwaka 2014 mara tu baada ya kukamilika kwa fainali hizo.
Tazame video ya Philip Lahm akionyesha ujuzi wake uwanjani.


0 comments:
Post a Comment