Kama ulisikiliza XXL ya Clouds FM siku ya jana mwanzo mpaka mwisho naamini utakuwa ulisikia kile ambacha alikiongea mmoja kati ya watangazaji wa kipindi hicho Adam Mchomvu kumuhusu rapper Fid Q.
Ilikuwa ni katika segment ya Hot 3 at 3 ambapo story mezani ilikuwa ikizungumzia suala la uoga na mastory kibao yakawa yanaendelea ndipo ambapo Adam Mchomvu akafunguka na kusema kwamba katika watu waoga Fid Q ni number moja. na kutolea mfano kuwa kutika suala zima la uoga ukikaa na Fid Q ni sawa umekaa na mwanadada Nandy.
Ndipo Silawadu wakaichukulia kitofauti kauli hiyo na kuifanya kuwa story kubwa sana kuanzia jana mpaka leo.
Soudy Brown ameona sio kesi, amemtafuta Fid Q na kupiga nae story kuhusiana na kauli hiyo ya Adam Mchomvu.
Unataka kujua Fid Q ameongea nini!? Nimekuwekea mazungumzo yao kwenye video hii hapa chini.
0 comments:
Post a Comment