Wednesday, May 3, 2017

Rapa Madee kutoka Tip Top Connection ni moja kati ya wasanii ambao wanamkubali sana Dogo Jonjo, tena sio tu kwa uwezo wake wa ku’rap bali hata muonekano wake wa kimavazi.

Madee amesema kwa sasa haoni Msanii yeyote yule ambaye anamfunika Dogo Janja kwenye Mavazi.
Ulimwengu wa vijana na mavazi round hii ameushika janja!!!!“Ameandika Madee kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Ulimwengu wa vijana na mavazi round hii ameushika janja!!!!

Dogo Janja ni mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la Tip Top Connection, linaloongozwa na Babu Tale.

0 comments:

Post a Comment