Magufuli amesema kuna wapinzani wanapinga tu na wanapopinga wana information zao nyingi ila anawahifadhi tu.
Amesema "wapo wanaotafuta data wanahangaika weee na kutuma meseji kwa
wale anaowatafuta data na kusema eti atashtakiwa, mtu akiwa mwanasheria
ataogopa kushtakiwa?" Kisha akacheka kwa dharau na kusema "subiri siku
atakayopokea ripoti ya pili."

0 comments:
Post a Comment