Friday, August 18, 2017

Image result for rugemalira na shetty kisutu images
MASHTAKA 12 yanayowakabili Seth na Rugemalira ya uhujumu uchumi ambapo ni Kula njama na kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi,
kutoa nyaraka za kugushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia Serikali hasara ya Dola za kimarekani 22,198,544.60 na sh. 309,461,300,158.27.

katika shtaka la kwanza Rugemalira na Seth kati ya Oktaba 18, 2011 na Machi 19, 2014 wakiwa Dar es Salaam, walikula njama katika nchi za Afrika kusini Kenya na India ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Shtaka la pili wanadaiwa kujihusisha na mtandao wa uharifu kwa lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Shtaka la tatu Seth anadaiwa akiwa Dar es Salaam alighushi form namba 14 ya usajili wa  makampuni nakuonnyesha yeye ni Mtanzania snsyeishi kitalu namba 887 Mtaa wa Mlikau Masaki.

Shtaka la nne linamuhusu pia Seth ambapo anadaiwa kutoa nyaraka za kugushi ambayo ni fomu namba 14 ya usajili wa makampuni kwa Ofisa Msajili wa kampuni Seka Kasera akijionnyesha yeye ni Mtanzania.

katika Shtaka la tano washtakiwa wote wawili wanadaiwa kati ya Novemba 28 na 29 mwaka 2011 na Januari 23 mwaka 2014 huko  Makoa makuu ya Benji ya Stanbic Kinodoni na Benki ya Mkombozi walijipatia fedha dola za kimarekani 22,198,544.60 na sh. 309,461,300,158.27.

Shtaka la sita kusababisha hasara, inadaiwa kuwa washtakiwa wote wawili wanadaiwa kuisababishia hasara Serikal gasala ya Dola za Marekani 22,198,544.60na Sh. 309,461,300,158.27.

katika Shtaka la saba wote wawili wanadaiwa kutenda kosa kwa kutakatisha fedha kwa kuchukua fedha kutoka BOT Dola za Marekani 22,198,544.60 na sh 309,461,300.27.

Shtaka la nane Seth alitakatisha fedha kwa kuchukua Benki kuu ya Tanzania (BOT) Dola 22,198,544.60.

Katika shtaka la tisa Setha anadaiwa kuwa katika tawi la Stanbic Dar es Salaam alitakatisha fedha sh. 309,461,300,158.27 kutoka BOT.

Shtaka la kumi Rugemalira anadaiwa kutakatisha fedha sh. 73,573, 500,000 kutoka kwa Seth huku akijua fedha hizo zimetokana na uharifu.

Shtaka la kumi na moja inadaiwa Januari 23 mwaka 2014 Rugemalira alitakatisha Dola za kimarekani 22,000,000 kutoka kwa Seth wakati akijua fedha hizo ni zao la uhalifu.

katika Shtka la mwisho ambalo la kumi na mbili Seth anadiwa katika Benki ya Stanbic alihamisha Rand za Afrika kusini 1,305,
MASHTAKA 12 yanayowakabili Seth na Rugemalira ya uhujumu uchumi ambapo ni Kula njama na kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kugushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia Serikali hasara ya Dola za kimarekani 22,198,544.60 na sh. 309,461,300,158.27.

katika shtaka la kwanza Rugemalira na Seth kati ya Oktaba 18, 2011 na Machi 19, 2014 wakiwa Dar es Salaam, walikula njama katika nchi za Afrika kusini Kenya na India ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Shtaka la pili wanadaiwa kujihusisha na mtandao wa uharifu kwa lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Shtaka la tatu Seth anadaiwa akiwa Dar es Salaam alighushi form namba 14 ya usajili wa  makampuni nakuonnyesha yeye ni Mtanzania snsyeishi kitalu namba 887 Mtaa wa Mlikau Masaki.

Shtaka la nne linamuhusu pia Seth ambapo anadaiwa kutoa nyaraka za kugushi ambayo ni fomu namba 14 ya usajili wa makampuni kwa Ofisa Msajili wa kampuni Seka Kasera akijionnyesha yeye ni Mtanzania.

katika Shtaka la tano washtakiwa wote wawili wanadaiwa kati ya Novemba 28 na 29 mwaka 2011 na Januari 23 mwaka 2014 huko  Makoa makuu ya Benji ya Stanbic Kinodoni na Benki ya Mkombozi walijipatia fedha dola za kimarekani 22,198,544.60 na sh. 309,461,300,158.27.

Shtaka la sita kusababisha hasara, inadaiwa kuwa washtakiwa wote wawili wanadaiwa kuisababishia hasara Serikal gasala ya Dola za Marekani 22,198,544.60na Sh. 309,461,300,158.27.

katika Shtaka la saba wote wawili wanadaiwa kutenda kosa kwa kutakatisha fedha kwa kuchukua fedha kutoka BOT Dola za Marekani 22,198,544.60 na sh 309,461,300.27.

Shtaka la nane Seth alitakatisha fedha kwa kuchukua Benki kuu ya Tanzania (BOT) Dola 22,198,544.60.

Katika shtaka la tisa Setha anadaiwa kuwa katika tawi la Stanbic Dar es Salaam alitakatisha fedha sh. 309,461,300,158.27 kutoka BOT.

Shtaka la kumi Rugemalira anadaiwa kutakatisha fedha sh. 73,573, 500,000 kutoka kwa Seth huku akijua fedha hizo zimetokana na uharifu.

Shtaka la kumi na moja inadaiwa Januari 23 mwaka 2014 Rugemalira alitakatisha Dola za kimarekani 22,000,000 kutoka kwa Seth wakati akijua fedha hizo ni zao la uhalifu.

katika Shtka la mwisho ambalo la kumi na mbili Seth anadiwa katika Benki ya Stanbic alihamisha Rand za Afrika kusini 1,305,

0 comments:

Post a Comment